Skip to main content
Skip to main content

Jaji mstaafu David Maraga aendelea kuikosoa serikali

  • | Citizen TV
    551 views
    Duration: 1:18
    Jaji mkuu mstaafu David Maraga ameendelea kuikosoa serikali ya Kenya kwanza kutokana na mauaji ya vijana wakati wa maandamano. Kulingana naye, ni haki ya kila Mkenya kuandamana na kudai haki yake kikatiba.