4 Nov 2025 1:55 pm | Citizen TV 500 views Duration: 2:01 Katibu wa idara ya unyunyizaji maji mashamba, Ephantus Kimotho, ameuzindua mradi wa maji wa thamani ya shilingi milioni 253 ambao utatumia maji kutoka chemchemi za Olgulului, eneo la Amboseli.