Skip to main content
Skip to main content

Kaunti ya Laikipia yashirikiana na hospitali ya binafsi kuboresha huduma za afya

  • | KBC Video
    171 views
    Duration: 1:09
    Kaunti ya Laikipia yashirikiana Serikali ya Kaunti ya Laikipia imetia saini makubaliano ya ushirikiano na hospitali ya Outspan ili kuimarisha upatikanaji wa huduma za afya. Ushirikiano huo pia utasaidia kushughulikia changamoto za afya ya akili katika eneo hilo.na hospitali ya binafsi kuboresha huduma Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive