Skip to main content
Skip to main content

Kauti ya W.Pokot yapiga hatua kubwa ya kutoa chanjo

  • | Citizen TV
    169 views
    Duration: 2:32
    Kaunti ya Pokot Magharibi imepiga hatua kubwa katika huduma za kutoa chanjo kwa watoto walio chini ya miaka mitano kupitia ushirikiano wa serikali ya kitaifa, wadau wa maendeleo na jamii. Lengo kuu ni kupunguza vifo vinavyosababishwa na magonjwa yanayoweza kuzuilika kupitia chanjo. Collins Shitiabayi Na taarifa hiyo