Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Nchini, KCCB, limetoa tahadhari kuhusu kupitishwa haraka kwa sheria ya uhalifu wa mtandaoni likidai kuwa huenda sheria hiyo ikatumiwa vibaya kuzima sauti za wanaoikosoa serikali.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya