Kenya na China zinatumia uchumi unaohusisha chakula kuwa mbinu nyingine ya kuleta ukuaji. Zhang Zhizhong, ambaye ni mkuu wa shughuli katika ubalozi wa China humu nchini alisema kuwa mataifa haya mawili yanaimarisha ushirikiano wao mbali na biashara na muundo msingi na kukipa umuhimu kilimo, ubunifu wa uzalishaji chakula na kuongeza thamani, sekta ambazo anaamini kuwa ni muhimu kwa ustawi wa baadaye.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News