Killian Nyambu, NCIC Deputy Director Public Education And Engagement: Tumewakutanisha vijana, wazee, na wadau mbalimbali ili kubaini njia tunazoweza kuwasaidia wananchi kuishi kwa maelewano na kukuza maendeleo kwa pamoja.
Pia tunajadili jinsi ya kuhakikisha kwamba jamii zetu zinanufaika na madini katika ardhi yetu, kuimarisha umoja, na kutoa fidia kwa wakazi walioathiriwa na migogoro ya binadamu na wanyamapori.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#KBCchannel1 #Kenya #News #AmaniKwaGround #ncic