- 155 viewsDuration: 4:07Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha hakuna udanganyifu katika tathmini za kitaifa za gredi ya 6 (KPSEA) na 9 (KJSEA) kote nchini. Akizungumza baada ya kuongoza shughuli ya usambazaji wa karatasi za mitihani katika afisi ya Naibu Kamishna, kaunti ndogo ya Starehe jijini Nairobi leo, Katibu katika wizara ya usalama wa taifa Dkt. Raymond Omollo aliwaonya wanakusudia kushiriki kwenye udanganyifu wa mitihani kuwa watakabiliwa ipasavyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive