- 560 viewsDuration: 3:29Ukosefu wa usalama katika kaunti ya Samburu ni suala ambalo limewasumbua wakazi kwa miaka mingi huku serikali ikitafuta mbinu za kurejesha usalama katika eneo hilo kwa miaka mingi. Kuongezwa kwa doria za usalama na kuajiriwa kwa polisi zaidi wa akiba kumeonekana kuzaa matunda huku wakazi wakishuhudia kupungua kwa uvamizi wa mara kwa mara. Boniface Barasa anaangazia suala la usalama kaunti ya Samburu