Skip to main content
Skip to main content

Mahakama itatoa uamuzi iwapo kesi ya Niffer na wenzie ni uhaini au la

  • | BBC Swahili
    28,681 views
    Duration: 51s
    'Kesi ya Niffer na wenzie , mahakama itatoa uamuzi iwapo ni uhaini u la!'- Wakili mwandamizi @PeterKibatala ameeleza @_.niffer._ ni mfanyabiashara maarufu wa Vipodozi nchini Tanzania ambaye ni miongoni mwa vijana 400 wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini yanayohusiana na maandamano ya hivi karibuni ya uchaguzi. #bbcswahili #siasa #foryou #uchaguzi2025 #uhaini Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw