Mashirika ya kibinadamu yamehimizwa kuwekeza katika kukuza ujuzi wa wafanyakazi kwa ajili ya maendeleo endelevu badala kutoa misaada ya muda mfupi inayotoa msaada wa muda tu. Huu ndio ulikuwa ujumbe wa afisa mkuu mtendaji wa tume ya Filamu ya humu nchini Timothy Owase, na mkurugenzi mtendaji wa shirika la Film Aid Kenya, Stella Suge, kabla ya hafla ya tamasha la shirika hilo iliyoratibiwa kuandaliwa siku ya Alhamisi jijini Nairobi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive