Skip to main content
Skip to main content

Mpito wa Gredi 10: Vitabu kiada kuwa tayari kabla ya shule kufunguliwa Januari 2026

  • | KBC Video
    60 views
    Duration: 3:01
    Chama cha wachapishaji vitabu nchini kimetoa hakikisho kwamba vitabu vya kiada vya gredi ya 10 vitakuwa tayari kabla ya shule kufunguliwa kwa mhula wa kwanza mwezi Januari mwaka 2026. Wachapishaji hao wanasema usambazaji utaanza kati ya Oktoba na Disemba mwaka huu huku wakitoa wito kwa serikali kuharakisha malipo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive