Skip to main content
Skip to main content

Mtoto amuua babake huko Nyamache, Kisii

  • | KBC Video
    99 views
    Duration: 3:14
    Familia moja katika wadi ya Riana , eneo bunge la Bonchari , kaunti ya Kisii inafadhaika baada ya kushindwa kumzika mpendwa wao ambaye mwili wake umehifadhiwa katika makafani ya City, kaunti ya Nairobi kwa zaidi ya mwaka moja . Familia hiyo imesema ilifahamishwa na Mzee mmoja kuhusu kifo cha mpendwa wao,ambaye mwili wake umeorodheshwa miongoni mwa ile ya watu wasiojulikana ambao waliogongwa na magari. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive