- 4,352 viewsDuration: 3:57Kitengo cha ulinzi wa mashahidi nchini kimekana madai ya kumtelekeza mwanablogu anayedai kutekwa nyara na kisha kulawitiwa. Kulingana na idara hiyo, mwanablogu huyo alivunja baadhi ya masharti mara tatu ikiwemo kukusanya pesa akidai mzazi wake amefariki na kutumia mitandao ya kijamii kiholela, kinyume na masharti ya ulinzi.