Skip to main content
Skip to main content

Mzozo wa ardhi ya Keekonyokie huko Kibiku Ngong watokota

  • | Citizen TV
    373 views
    Duration: 2:10
    Mzozo kuhusu umiliki wa ardhi ya takriban ekari elfu mbili mia nane katika eneo la Keekonyokie, Kajiado Magharibi, unaendelea kutokota huku wakazi wakitoa wito kwa serikali kuingilia kati ili kurejesha amani.