Wizara ya Elimu imesema inakabiliwa na nakisi ya ufadhili ya shilingi bilioni 3.7 ili kusimamia ipasavyo mitihani ya kitaifa inayoendelea. Haya yalibainishwa na waziri wa elimu, Julius Ogamba, alipofika mbele ya kamati ya elimu ya bunge la taifa kufafanua kuhusu maandalizi ya mitihani hiyo ya kitaifa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive