Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza mauaji ya wakili Mbobu, wahoji mashahidi

  • | Citizen TV
    9,310 views
    Duration: 3:03
    Watu wawili waliokutana na wakili mathew kyalo mbobu dakika chache kabla ya mauaji yake wamehojiwa na polisi. Makachero wanachunguza baadhi ya picha za cctv zilizonasa matukio muda mfupi kabla ya wakili huyo kuuwawa. Aidha wanalalamika kuwa kamera nyingi za cctv katikati mwa jiji la nairobi hazifanyi kazi.