Rais William Ruto kwa mara nyingine tena ametoa wito kwa Wakenya kujiepusha na siasa za ukabila na migawanyiko, akisema mabadiliko ya taifa hili yatapatikana tu kupitia umoja na maendeleo. Akizungumza katika kaunti ya Busia wakati wa siku ya pili ya ziara yake ya kikazi katika eneo la Magharibi mwa Kenya, Ruto alisema serikali jumuishi aliyoibuni kwa ushirikiano na aliyekuwa waziri mkuu marehemu Raila Odinga inadhamiria kuwaunganisha Wakenya wote.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive