- 2,711 viewsDuration: 3:06Rais William Ruto amewataka Wakenya kuwapuuza viongozi wanaopanda mbegu za migawanyiko kupitia semi za chuku. Rais alisema kwamba chini ya uongozi wake, hakuna eneo litaachwa nyuma kimaendeleo. Alisema haya wakati wa ziara ya kikazi katka kaunti ya Nakuru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive