Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto anahudhuria kongamano la Baraza la Umoja wa Mataifa Marekani

  • | KBC Video
    118 views
    Duration: 56s
    Rais William Ruto ametoa wito wa kuendelezwa kwa ufadhili wa kimataifa kwa ujumbe nchini Haiti. Rais Ruto aliyasema hayo kandoni mwa baraza kuu la umoja wa mataifa jijini New York aliipongeza serikali ya Haiti kwa usaidizi iliotoa kwa ujumbe wa kimataifa wa usalama tangu ulipoanzishwa mwaka 2024 . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive