Rais William Ruto yuko jijini New York, kwa kongamano la 80 la baraza kuu la Umoja wa Mataifa. Kwenye mkutano huo wa viongozi wa mataifa mbali mbali duniani, Rais Ruto atasisitiza kujitolea kwa taifa hili kukuza uhusiano na mataifa mengine , kutetea mageuzi ya mfumo wa kimataifa wa kifedha , na kushinikiza kuwepo kwa usawa kwenye ufadhili wa maendeleo katika mataifa yanayostawi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive