Rais wa Chama cha Boda boda nchini, Kelvin Mmbadi, amewakosoa vikali wanaoeneza uvumi kwenye mitandao ya kijamii kuwa vijana waendesha bodaboda waliokwenda Ikulu hawakupokea pikipiki. Mmbadi alifafanua kuwa kati ya waendeshaji pikipiki zaidi ya 5000 waliofika Ikulu, 200 ambao majina yao yaliwasilishwa rasmi na vikundi vyao ndiyo walipokea pikipiki .
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive