Skip to main content
Skip to main content

Rais wa zamani wa Botswana, Seretse Ian Khama awashutumu vikali baadhi ya viongozi wa Afrika

  • | NTV Video
    1,049 views
    Duration: 2:36
    Rais wa zamani wa Botswana, Seretse Ian Khama, amewashutumu vikali baadhi ya viongozi wa Afrika kwa kung’ang’ania madaraka kwa kisingizio cha ukombozi wa Afrika.khama alirejelea uchaguzi wa Tanzania ulioghubikwa na vurugu kwa ulikosa uhalali, akidai kwamba uongozi uliopo madarakani hauna uhalali wa kweli. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya