- 19 viewsDuration: 54sWaziri wa utumishi wa ummaGeoffrey Ruku ametetea ziara zake za maendeleo katiika eneo la Mbeere Kaskazini kabda ya uchaguzi mdogo ujao. Ruku amekanusha madai kwamba anatumia miradi ya serikali kupigia debe mwaniaji wa chama cha UDA kwenye uchaguzi huo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive