29 Oct 2025 11:44 am | KBC Video 372 views Duration: 1:55 Ruto : Msongamano wa magari umesumbua sana katika barabara ya kutoka Nakuru kuelekea Nairobi. Hii barabara tunapanua, badala ya lane mbili tunaweka lane 6, na mimi nakuja kuanzisha huo mredi mwezi ujao, November.