- 81 viewsDuration: 3:29Sekta ya wageni humu nchini imeorodhesha miongoni mwa zile zinazochafua mazingira kwa wingi huku shinikizo zikizidi za kurekebisha hali hiyo. Hoteli na mighahawa sasa zimegeukia kawi isiyochafua mazingira, kuimarisha utupaji takataka na kupunguza matumizi ya plastiki miongoni mwa hatua nyingine za kukomesha uchafuzi wa mazingira. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive