4 Nov 2025 1:31 pm | Citizen TV 172 views Duration: 1:21 Serikali ya Kaunti ya Kirinyaga imefanikiwa kurejesha umiliki wa zaidi ya ekari 800 za ardhi ya umma zenye thamani ya takriban shilingi bilioni moja ambazo zilikuwa zimetwaliwa na watu binafsi.