Skip to main content
Skip to main content

Shirika latumia teknolojia kudhibiti wizi wa punda turkana

  • | Citizen TV
    217 views
    Duration: 1:50
    Kutokana na ongezeko la wizi wa punda inayochangiwa na biashara haramu ya ngozi na nyama ya punda katika kaunti ya Turkana, shirika moja limeandaa kongamano la washikadau kutoka asasi za kiusalama na kijamii kujadili mbinu mpya ya kukabiliana na kero hilo.