4 Nov 2025 1:45 pm | Citizen TV 553 views Duration: 1:09 Shule za Rophine Field nchini Kenya zimetawazwa kuwa bora zaidi katika nyanja ya elimu katika toleo la 31 la mashindano ya shule ya dunia jijini Dubai.