Chama cha wanasheria nchini, tawi la Kiambu, kinawaomba wakazi kuchukua fursa ya Wiki ya uhamashisho kuhusu sheria, ili kupata maarifa kuhusu taratibu za mahakama kupitia ushauri wa kisheria wa bila malipo katika mahakama za kaunti hiyo. Mpango huu unalenga kusaidia watu wasio na uelewa wa jinsi mfumo wa kisheria unavyofanya kazi wanapokabiliana na kesi za kisheria. Taarifa kamili katika mseto wa magatuzi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive