Skip to main content
Skip to main content

Tume ya kuchunguza mauaji na uharibu wa mali Tanzania kuundwa

  • | BBC Swahili
    32,611 views
    Duration: 43s
    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaunda tume ya kuchunguza machafuko yaliyotokea wiki ya uchaguzi. - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #siasa #tanzania #maandamano Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw