Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa maiti wafanyika katika makafani ya Lee

  • | Citizen TV
    2,838 views
    Duration: 3:27
    Upasuaji wa maiti ya wakili aliyeuawa hapa nairobi Mathew Kyalo Mbubo unaendelea katika makafani ya lee. Wakili Mbubo alipigwa risasi katika barabara ya langata kwenda magadi jijini nairobi siku ya jumanne.