Vincent Chemitei atawakilisha chama cha UDA katika uchaguzi mdogo wa useneta Baringo ulioratibiwa kuandaliwa tarehe 27 mwezi Novemba mwaka huu, baada ya kushinda kwenye kura ya mchujo ilioandaliwa leo. Inadaiwa kuwa Gideon Moi wa chama cha KANU pia anapania kuwania wadhifa huo. Wakati huohuo, mgombea wa ubunge wa eneo bunge la Malava, Rhayan Malulu Injendi, amedai kuwa kura za mchujo za chama cha UDA hazikuwa huru wala za haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive