4 Nov 2025 1:47 pm | Citizen TV 2,639 views Duration: 2:11 Msaidisi wa rais Farouk Kibet amewataka wakazi wa eneobunge la Malava kumchagua mwaniaji wa kiti cha ubunge cha Malava kwa tiketi ya UDA David Ndakwa.