Skip to main content
Skip to main content

Wabunge wa Kenya Kwanza wakemea Gachagua kwa kuendeleza siasa za ukabila

  • | NTV Video
    1,226 views
    Duration: 2:45
    Baadhi ya wabunge wanaoegemea Kenya Kwanza wakiongozwa na kiongozi wa wengi bungeni, Kimani Ichung’wah, wamemkemea aliyekuwa naibu wa rais, Rigathi Gachagua, wakimtuhumu kwa kuendeleza siasa za ukabila na zinazolenga kuwagawanya wakenya. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya