4 Nov 2025 1:49 pm | Citizen TV 829 views Duration: 2:57 Washidau katika sekta ya elimu sasa wanasema nafasi ya mtoto mvulana katika jamii imetelekezwa na huenda taifa likayumba ziku za usoni iwapo mtoto wa kiume hatapewa nafasi sawa na wa kike.