- 107 viewsDuration: 2:15Shughuli za usafiri katika barabara kuu ya kitale hadi webuye zilitatizika baada ya wakazi kufanya maandamano na kufunga barabara hiyo wakidai kuwa kuna baadhi ya wafanyabiashara ya uuzaji wa dawa za kulevya zinazoathiri vijana katika eneo hilo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya