- 6 viewsDuration: 1:34Wakazi wa eneo la Mutomo, kaunti ya Kitui wanatarajiwa kunufaika na mradi wa maji wa Kangu Kangu utakaokomesha tatizo la uhaba wa maji wa mara kwa mara katika eneo hilo. Mradi huo uliofadhiliwa kwa pamoja na serikali ya kaunti ya Kitui na shirika la World Vision utatoa maji kwa familia zaidi ya 100 katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive