Skip to main content
Skip to main content

Wakazi walalamika shughuli ya kusambaza maji imekwama Samburu

  • | Citizen TV
    812 views
    Duration: 3:53
    Viongozi katika kaunti ya Samburu pamoja na wakazi wamelalamikia kujikokota Kwa ujenzi wa mabomba ya kusambaza maji kutoka bwawa la Yamo Hadi mjini Maralal. Wakazi katika mji wa Maralal na viunga vyake wamesalia na dhdiki Tele ya kukata KIU ya maji,hii ni licha ya ujenzi wa bwawa la Yamo kukamilika.