Skip to main content
Skip to main content

Walemavu zaidi ya 200 wapewa viti vya magurudumu Makueni

  • | Citizen TV
    257 views
    Duration: 3:07
    Ni afueni kubwa kwa watu zaidi ya 200 wanaoishi na ulemavu kaunti ya makueni baada ya kupata viti vya magurudumu kutoka kwa shirika la hope mobility Kenya kwa ushirikiano na serikali ya kaunti hiyo . Aidha wazazi wameshauriwa kutowaficha watoto wenye ulemavu ili waweze kupata msaada.