Skip to main content
Skip to main content

Walimu 36 wakamatwa kwa udanganyifu wa KCSE

  • | Citizen TV
    7,533 views
    Duration: 2:15
    Watu 36 wamekamatwa kwenye visa vya udanganyifu wa mitihani ya kitaifa ya KCSE katika sehemu mbalimbali nchini. Miongoni mwa waliokamatwa ni watu waliokuwa wakiwafanyia wanafunzi mitihani katika shule moja hapa Nairobi na nyingine huko Kericho. Baadhi ya wanafunzi pia wakizuiliwa kwa kupatikana na simu kwenye vyumba vya mitihani kaunti ya Marsabit.