Skip to main content
Skip to main content

Walimu waitaka DCI kuchunguza kifo tatanishi cha mwalimu mkuu Simon Isiaho

  • | NTV Video
    308 views
    Duration: 1:43
    Miungano ya kutetea maslahi ya walimu wa nchini KUPPET na ule wa walimu wakuu wa shule za sekondari KESSHA sasa wanaitaka idara ya upelelezi DCI na inspekta generali wa polisi kuharakisha mchakato wa uchunguzi kwenye kifo tatanishi cha mwalimu mkuu Simon Isiaho wa shule ya sekondari ya Munyuki iliyoko Lugari. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya