- 28 viewsDuration: 2:16Zaidi ya taasisi 15 za mafunzo na elimu ya kiufundi kutoka Kaunti ya Kiambu zilishirikiana katika shughuli ya upandaji miti katika Msitu wa Kinale, kama sehemu ya utekelezaji wa jukumu lao katika ajenda ya kitaifa ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive