Skip to main content
Skip to main content

Wanaomiliki sihaha haramu Laikipia, Meru, Isiolo waonywa

  • | KBC Video
    126 views
    Duration: 2:17
    Raia wanaomiliki silaha kinyume cha sheria kwenye msitu unaokumbwa na misukosuko waMukogodo katika kaunti ya Laikipia wameagizwa kuzisalimisha mara moja kwa maafisa wa serikali.Kamishna wa kaunti ya Laikipia, Onesmus Kyatha, amesema msitu huo umekuwa maficho ya majangili wanaojihami ambao hutafuta hifadhi humo baada ya kuzua vurugu katika eneo hilo na maeneo mengine. Kyatha alisema maafisa zaidi wa kitengo cha kukabbiliana na wizi wa mifugo wamepelekwa katika eneo hilo kudhibiti usalama. Alisema haya wakati wa mkutano wa usalama ulioandaliwa na wakfu wa Northen Rangeland na kuhudhuriwa na maafisa wa usalama kutoka kaunti za Laikipia Isiolo na Meru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive