Skip to main content
Skip to main content

Waziri Migos, UASU, KUSU na KUDHEIHA wakutana bungeni kutafta suluhu ya mgomo

  • | Citizen TV
    5,131 views
    Duration: 6:18
    Waziri wa elimu Julius Migos Ogamba pamoja na viongozi wa vyama vya wahadhiri na wafanyakazi wa vyuo vikuu, UASU, KUSU na KUDHEIHA, wanakutana na kamati ya bunge kuhusu elimu kwa nia ya kutafuta suluhu ya mgomo unaoendelea. Wahahdiri walisema hawatarejea darasani hadi walipwe malimbikizi ya shilingi bilioni 7.9 kwa mpigo ila serikali inawataka wakubali kulipwa kwa awamu mbili.