Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya madereva 300 kutoka kaunti ya Kirinyaga wapata mafunzo kuhusu usalama barabarani

  • | NTV Video
    102 views
    Duration: 1:32
    Zaidi ya madereva 300 wa magari ya umma na serikali kutoka Kaunti ya Kirinyaga wamepata mafunzo kuhusu usalama barabarani kabla ya msimu wa sikukuu, kufuatia ongezeko la ajali katika barabara ya Embu–Nairobi. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya