Skip to main content
Skip to main content

Zaidi ya walezi 200 wa watoto kutoka kaunti ya Uasin Gishu wapokea mafunzo kuhusu malezi bora

  • | NTV Video
    68 views
    Duration: 1:33
    Zaidi ya walezi 200 wa watoto kutoka maeneo ya kaunti ya Uasin Gishu walipokea mafunzo kuhusu malezi bora, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kuimarisha huduma za malezi ya watoto, kikuu zaidi kikiwa ni usalama, haswa wakati huu wa likizo ndefu. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya