Gavana Barasa atakiwa kusuluhisha mgogoro

  • | Citizen TV
    355 views

    Usimamizi wa Chama cha ODM unamtaka gavana wa kaunti ya Kakamega Fernandes Barasa kutekeleza maagizo yake la sivyo achukuliwe hatua za kinidhamu.