Tume ya kutetea haki za kibinadamu yasema visa vya utekaji nyara nchini vinatekelezwa na polisi

  • | Citizen TV
    1,011 views

    Tume ya kutetea haki za kibinadamu (KNCHR) imesema kuwa visa vya utekaji nyaranchini vinatekelezwa na maafisa wa polisi. kwenye kikao cha kamati ya bunge kuhusu usalama, maafisa w atume hiyo wamesema kuwa waliotekw anyara wamesemea kuwa walifungwa pingu na maafisa waliokuwa na bunduki na ambao walikuwa wakiwasiliana kupitia redio za polisi.