Serikali ya kaunti ya Homa Bay yaanza mpango wa usajili wa wakaazi katika mfumo wa bima ya SHA

  • | Citizen TV
    138 views

    Serikali ya kaunti ya homa Bay kwa ushirikiano na serikali kuu imeanza mpango wa usajili wa wakazi wa Homa bay katika mfumo wa bima ya Afya ya SHA. Akiongoza hafla hiyo Gavana wa kaunti ya Homa Bay Gladys Wanga alisisitiza umuhimu wa bima Hiyo kwa wananchi. James latano anaarifu zaidi.